Hii ipo hata Tanzania unakuta barabara inabidi ipanuliwe so kuna watu tu watabomolewa nyumba zao ambazo ziko ndani ya eneo ambako ujenzi inabidi ufanyike.
Kwenye hizi picha za leo ni kutoka China ambako wamiliki wake wamekataa pesa zilizotolewa na idara ya ujenzi wa barabara kama fidia,
Hata hivyo wakazi wengine waliogomea nyumba zao zibomolewe baadae baadhi yao waliripotiwa kulipwa kiasi kikubwa cha pesa na kukubali kuondoka kupisha ujenzi.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.