Mjengo ambao Staa Jennifer Lopez aliuuza mwaka 2005 kwa Dola Milioni 13.9 uliingizwa tena sokoni kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita mtu wangu.. Mjengo huo uliopo Miami Beach, Marekani una historia yake yani, kwanza ulijengwa mwaka 1929 na hata ukiona design yake inaonesha kabisa sio jengo jipyajipya!!
Nyumba iliwekwa sokoni mwaka 2010, mteja kapatikana 2015 ambae ni Mwanamuziki mkongwe Marekani, Phil Collins.. kauziwa kwa Dola Milioni 33 wakati J Lo kipindi anaiuza mwaka 2005 aliiuza kwa Dola Milioni 13.9.
Pichaz zake zimenivutia mtu wangu, unaweza kuucheki hapa kwenye hizi pichaz zake 25