Airtel Fursa iko kwenye na mengine mapya July 14 2015 mtu wangu.
Mtandao wa Airtel uko na watu wake kila wakati, Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakaowawezesha kuimarisha biashara zao.
Ninayo video nyingine yenye mfululizo wa story za #AirtelFursa, Mohamed ni mkazi wa Kisarawe.. amepata mafunzo ya biashara pamoja na kukabidhiwa banda jipya lenye kuku wa kenyeji 200, kafungua mlango wa kuzifikia ndoto zake.
Unaweza kubonyeza play hapa kuona stori yote.
Unahitaji kuikamata hii FURSA? Bonyeza link hii>>> http://goo.gl/ECdVkc