Jana Hekahaka ilimuhusu yule mama mwenye watoto wenye ulemavu wa kupooza ambaye alirudi kuwashukuru Watanzania kwa kumsaidia…watoto wake mmoja ana miaka 12 na mwingine miezi saba wameanza mazoezi ya viungo baada ya kupatiwa msaada.
Leo Dokta Isaac Maro kwenye Hehaheka ya leo amezungumzia chanzo cha ugonjwa wa degedege, dalili na hata ni jinsi gani ya kuepuka watoto kuweza kukumbwa na ugonjwa huo.
Msikilize hapa…
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.