July 28 2015 Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa alitangaza rasmi kuhama CCM na kujiunga na chama cha upinzani (CHADEMA) ikiwa ni baada ya kudai kutotendewa haki kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais atakaeipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Haya hapa chini ni maneno ya Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA akiongea dakika chache baada ya kumpokea Edward Lowassa.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.