Watu wengi hutumia gharama kubwa kujaribu kurudisha miili yao isionekane kuzeeka lakini kwa Hyomyung Shin kutoka Korea Kusini imeonekana kuwa tofauti.
Shin alizaliwa mwaka 1989 lakini amekua akiwashangaza wengi kutokana na umbile lake dogo ambalo halina tofauti na mtoto wa miaka 10.
Umri wake ni miaka 26 amekua akipata wakati mgumu akitaka kujichanganya na washkaji wengine katika sehemu mbalimbali ikiwemo kumbi za starehe hata shuleni… Wakati mwingine inabidi aoneshe Cheti cha kuzaliwa ili wamuelewe na kumruhusu.
Stori yake unaweza kuicheki na kwenye hii video pia.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos