Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Septemba 2, 2015, unazisoma zote kwa pamoja.
GWAJIMA amesema anaamini Dr.SLAA anatumiwa na watu wasiopenda demokrasia ambao wamemsukuma kuzungumza na waandishi #TzDAIMA#SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
LOWASSA amewataka CCM kuacha kelele na kuwahadaa WaTZ kwa ahadi na badala yake kiwaelezee kwanini kimewafanya kuendelea kuwa maskini TzDAIMA
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
MAGUFULI amesema akiingia Ikulu atashusha bei ya vifaa vyote vya ujenzi yakiwemo mabati, saruji ili kuharakisha maendeleo #MAJIRA #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Dr.SLAA ametangaza kustaafu siasa baada ya kushindwa kukubaliana na viongozi wa chama kuhusu kumkaribisha LOWASSA ndani ya chama #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
LOWASSA amesema akiwa Rais atafuta maadui watatu ambao ni ujinga, umaskini na maradhi waliodumu tangu nchi ipate uhuru #MWANANCHI #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
NEC imepokea rufaa 198 za Madiwani wanaopinga uamuzi wa wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini #MWANANCHI #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Wizi wa mtandao nchini watikisa sekta ya utalii, wageni wanaoingia huombwa kutuma fedha kwenye akaunti feki za kampuni mbalimbali #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Takwimu idadi ya watu wanaotumia huduma za benki imebaki mil. 2 kwa kipindi cha miaka mitano licha ya taasisi za fedha kuongezeka #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
SUGU aahidi kuibana Serikali kununua kipimo cha CT Scan hospitali ya rufaa Mbeya, atahakikisha kila kitu kinapatikana kwa wakati #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Mkazi wa Geita aliwa na fisi na kubakizwa kifua na kichwa tu, walimvamia baada ya kuanguka wakamla sehemu mbalimbali #MWANANCHI #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Mji wa Kagongwa, Shinyanga kinara wa maambukizi ya VVU, takwimu zinaonyesha maambukizi yaliyopo mpa
om/millardayo/status/638948882005762048″>September 2, 2015
<scrip
quote class=”twitter-tweet” lang=”en”>
NEC imefuta rufaa 38 za wagombea Ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa kupinga baadhi ya wagombea kwa kuwatuhumu kutotimiza vigezo #JamboLEO
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Wakala wa DART wamewapiga marufuku wananchi wanaobandika mabango ya wagombea katika vituo vya abiria kwa kuwa si sawa #JamboLEO #SEPTEMBA 2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Viongozi wa dini wamesema shutuma za Dr.SLAA kuwa baadhi yao walihongwa na LOWASSA ni upuuzi mtupu#MTANZANIA SEPTEMBA http://t.co/K0mNHUPtjQ
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Mamlaka ya hali ya hewa nchini ‘TMA’ imesema zaidi ya 95% inaonyesha kuwa mvua za El Nino zinauwezekano wa kutokea #MTANZANIA #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
NEC imesema asilimia kubwa ya maandalizi ya uchaguzi mkuu yamekamilika huku karatasi za kupiga kura zikitokea A.Kusini #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Serikali imesema haidaiwi na walimu na kwamba imebaini kuwepo kwa majina hewa ya walimu 4,000 yaliyowasilishwa kwa ajili ya malipo #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Kigogo wa CHADEMA ahojiwa na Polisi kwa zaidi ya saa 5, adaiwa kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho Mkoani humo #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Wamiliki wa Mabasi Tanzania wamemtaka Katibu mkuu wao kuachia ngazi kwa kile wanachodai ameshindwa kufuatilia madai yao #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Vyombo vya ulinzi na usalama vyamuaga KIKWETE, sherehe zilipambwa na shamrashamra za ndege za kivita na makomandoo #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
CWT Ilala kufanya maandamano bila kikomo kushinikiza Serikali kuwalipa zaidi ya bilioni1.5 za malimbikizo na nauli kwa wastaafu #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Taasisi ya kueneza amani nchini imezindua kampeni za kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, yawalenga zaidi vijana #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Kasi ya ACT yaanza kuwa tishio kwa UKAWA na CCM, Ni wakati wa kuchambua sera si kusikiliza shutuma za ufisadi na wizi #NIPASHE SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Wizara ya mambo ya nje Marekani ilianika hadharani lundo la barua pepe binafsi za Hillary Clinton anayewania Urais #NIPASHE #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Dr.SLAA amewaonya Watanzania kuacha kufanya ushabiki katika kumchagua Rais wa nchi kwa kuwa ni hatari kwa mustakabali wa nchi #HabariLEO
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
KABILA,JK wateta kwa dk25 uwanja wa ndege Dar kuhusu mambo mbalimbali ya kimataifa yanayohusu uhusiano wa nchi zao #HabariLEO #SEPTEMBA2
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Reli ya kisasa kujengwa kwa ajili ya kuunganisha maeneo mbalimbali ndani ya Dar ikiwemo katikati ya jiji kwenda Uwanja wa ndege #HabariLEO
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Mgombea Urais LOWASSA na MAGUFULI: Ni nani shetani nafuu tumpe kura zetu Oktoba25? #RaiaMWEMA MAKALA #SEPETMBA2http://t.co/K0mNHUPtjQ
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos