September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.
Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.
Mwimbaji Gospel Emmanuel Mbasha ameshinda kesi iliyomkabili ya kumbaka shemeji yake. #MillardAyoUPDATES #SEPT212015
— millard ayo (@millardayo) September 21, 2015
Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE