Kama hujawahi kufika Visiwani Zanzibar alafu ikatokea umepata safari kwenda Zanzibar anza kufurahia kabisa mtu wangu… kwenye safari sio lazima uwe na pesa nyingi ili uenjoy !!
Mazingira ya maeneo tofauti ya Zanzibar ni kivutio ambacho kimekua kikileta mamilioni ya Watalii toka kipindi hicho na leo nimekusogezea picha tu nilizozipiga Bandarini na kwenye baadhi ya mitaa lakini kwa juu.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE