Ripota wa millardayo.com ametua Bukoba leo October 08 2015, najua kuna watu wangu wa nguvu wako nje ya TZ na wanaisikia Bukoba.. najua nna watu wangu wengine ni WaTZ ila wanaishi nje na ni wenyeji wa Bukoba… najua pia kwamba kuna watu wangu sehemu nyingine nyingine hapahapa TZ wanatamani kuiona Bukoba leo inaonekanaje !!
Basi ondoa shaka kwa sababu kazi hiyo imefanywa na Ripota wako, kanikusanyia pichaz za Mji wa Bukoba unavyoonekana kwa juu, unaweza kuona kwa uzuri kabisa mji unavyoonekana, kona mbalimbali za Mji.. Uwanja wa Ndege, Ziwa Victoria pia kwenye ubora wake, vyote hivi hapa mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE