October 29 2015 ni siku ambayo vichwa vya habari magazetini vimetawaliwa na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu Zanzibar pamoja na matokeo yake yote kufutwa.
Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Jecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi huo huku akitaja sababu kadhaa za matokeo hayo kufutwa.
Hapa ni video ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC, Jaji Damian Lubuva akitaja sababu na kuthibitisha kwamba matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania bara yataendelea kutolewa.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE