Kama hujakutana na kilichoandikwa nje mpaka ndani ya Magazeti ya TANZANIA November 7 2015, hizi hapa Tweets nilizogusa kurasa zote Magazeti nane.
Good Morning mtu wa nguvu !! Kutoka nje na ndani ya kurasa za #MAGAZETI Tanzania November 7 2015, nakusogezea stori kubwa zote kwa #TWEETS.
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Mkuu wa Wilaya Simanjiro amesimamia wanakijiji waliomfukuza Mwenyekiti wa Kijiji chao anayedaiwa kuuza ardhi kinyemela #GazetiRaiaTZ #NOV7 — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Wachimbaji wadogo wa Madini wamesema wana imani na Rais JPM kwamba maeneo wanayovumbua hayatonyang’anywa kupewa wachimbaji wakubwa #RaiaTZ
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Kamanda KOVA amesema hatima ya watumishi wa Kituo cha LHRC wanaotuhumiwa kusambaza taarifa za Uchaguzi Mitandaoni ni wiki ijayo #RaiaTZ — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Kamanda KOVA amesema hatima ya watumishi wa Kituo cha LHRC wanaotuhumiwa kusambaza taarifa za Uchaguzi Mitandaoni ni wiki ijayo #RaiaTZ
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Kichanga aliyenusurika ajali ya ndege SUDAN amepata fahamu, ametibiwa na kuanza kutambua baadhi ya ndugu #RaiaTZ >>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Mamlaka ya TCRA yachachamaa, yafikisha Mahakamani watu wengine wanne kwa makosa ya Mitandaoni #RaiaTZ #NOV7 >>> https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Rais JPM aanza na ‘Hapa Kazi Tu’, afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha, akagua mahudhurio ya wafanyakazi #MWANANCHI #NOVEMBER7 — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Siku moja baada ya Rais JPM kuapishwa, Marekani imeitaka Serikali ya TZ kumaliza mgogoro wa Z’bar #MWANANCHI #NOV7 >>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na Mikutano ya CCM na CHADEMA, yadaiwa hali ya kisiasa bado si shwari TZ #MWANANCHI #NOVEMBER7 — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Edward LOWASSA aipa UKAWA Wabunge 116 ktk Bunge la 11 litakaloanza Novemba 17 DOM #MWANANCHI #NOVEMBER7 >>> https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Mama Regina LOWASSA aukataa Ubunge wa Viti maalum aliopewa na CHADEMA, asema amekataa kwa nia njema #MWANANCHI >>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Rais JPM amuapisha Mwanasheria Mkuu MASAJU, aeleza atakavyotekeleza majukumu yake Bungeni #MWANANCHI #NOV7 >>>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais JPM muda mfupi baada ya kuizindua, yasema itatangazwa tena siku ya kuanza kutumika #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Makada tisa CCM wajitokeza kumrithi Deo FILIKUNJOMBE Ludewa, yumo mdogo wake na pia mchekeshaji MASANJA #MWANANCHI>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Kipindupindu chaikumba Nyamagana Mwanza, watu 10 wamelazwa wanatibiwa, wananchi wahimizwa usafi #MWANANCHI #NOV7>>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Mwanasheria Mkuu George MASAJU amesema Serikali imeokoa pesa nyingi kwa kushinda Kesi za madai #GazetiUHURU>>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Wafanyabiashara wa samaki Feri Dar wameomba wateja wao wavumilie kupanda kwa bei kutokana na msimu #UHURU #NOV7 >>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Mgombea Uspika Samuel SITTA amesema jina lake likikatwa kwa kigezo cha umri au jinsia hatakubali #TzDAIMA #NOV7 >>>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Rais Mstaafu Mzee MKAPA amesema amechunga ulimi wake kuzungumzia sera ya maendeleo ktk utawala wa JK kwa kuogopa kuingilia uongozi #TzDAIMA — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Chama cha CUF kitakutana leo Z’bar kujadili ajenda ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na hatima ya Kisiasa visiwani humo #TzDAIMA #NOVEMBER7
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Vita ya kumpata Meya mpya Dar itakumbwa na mchuano mkali kutoka vyama vya UKAWA na CCM #TzDAIMA #NOVEMBER7 >>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
M’kiti wa Chama cha Walimu Kibaha ameomba Rais JPM kuanza kushughulikia kero za Walimu ili wafanye kazi kwa ufanisi #TzDAIMA #NOVEMBER7
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Jeshi la Polisi Mwanza limefanikiwa kuipata miili ya watu wawili waliosombwa na mafuriko, mmoja alikuwa mwanafunzi kidato cha nne #MTANZANIA — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Rais JPM aduwaza Wizara ya Fedha kwa ziara ya ghafla, akuta meza sita zimetelekezwa wenyewe hawapo #HabariLEO #NOV7>>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Kuongezeka kwa ndoa za mikeka Z’bar kumetajwa kuchangia kuzorota kwa maendeleo ya elimu #HabariLEO #NOV7>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Watu wanne wapandishwa Kizimbani Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo Whatsapp #HabariLEO >>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Watu 13 wamefariki ndani ya miezi miwili kutokana na Kipindupindu Wilaya ya Ukerewe Mwanza #HabariLEO #NOV7>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Shirika la Hifadhi TANAPA limewafunga tembo vifaa maalum kufuatilia mienendo yao na kupambana na ujangili #NIPASHE >>https://t.co/tEOB8xCxkz
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Machinjio ya Vingunguti yakithiri kwa uchafu, nyama yabebwa kichwani, mgongoni na mabegani #NIPASHE #NOVEMBER7>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Aliyekuwa Mbunge wa Mikindani Mtwara amesitisha huduma ya usafiri wa bure kwa wanafunzi baada ya kushindwa Ubunge #NIPASHE #NOVEMBER7
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
WaTZ wenye asili ya Asia walikimbia TZ wakati wa Uchaguzi Mkuu wakihofia kutokea kwa machafuko #JamboLEO #NOV7>>https://t.co/tEOB8xCxkz — millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Eneo la Lebanon lililopo soko la Feri jirani na Ikulu limetajwa kuwa eneo hatari, limekithiri watu wasio rasmi #JamboLEO#NOVEMBER7
— millard ayo (@millardayo) November 7, 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.