Hasira hasara… hasira ya huyu jamaa ilianzia kwenye mzigo wa bili ya huduma aliyosogezewa baada ya kuhudumiwa katika hoteli moja Marekani, akaona poa hamna namna, maamuzi yake ikawa ni kutoka nje ya mgahawa na kuingia ndani gari yake kwa hasira.
Ishu nzima ilinaswa na camera ya CCTV, Oklahoma Marekani, mzee aliyefanya tukio hilo ni John Parsley ambaye ana umri wa miaka 62… hasira yake baada ya kuletewa bili kubwa aliona aingie kwenye gari ya kugonga mlango wa hoteli mpaka meza ya mapokezi.
Wanawake wawili waliokuwa sehemu ya mapokezi wamekoswa kidogo tu kugongwa, Polisi wakaja na kumnasa jamaa huyo wakaondoka nae chini ya ulinzi… Video ya tukio lote hii hapa
https://www.youtube.com/watch?v=NmqN1kETGOQ
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.