Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania tayari wameapishwa kwa asilimia kubwa, wachache waliobaki ni wa kutoka maeneo ambayo Uchaguzi Mkuu ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali.
Kama ulidhani kazi ya kuapishwa ilitosha kuumsogeza Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA) kuendelea na Ubunge, basi jibu ni hapana… wazee wa jamii ya kimasai, wamemkabidhi fimbo kama ishara ya kumbariki aendelee na safari yake ya Ubunge salama kabisa. Picha nyingine hizi hapa wazee wa kabila la Kimasai, Malaigwanani wakitoa baraka zao.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE