Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 20, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Wanawake na wanaume wanaofanyiwa upasuaji walazwa wodi moja ktk Kituo cha afya cha Misasi kilichopo Misungwi #MagazetiJAN20 #JamboLEO
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Waziri Mkuu MAJALIWA asema Serikali yajipanga kufungua viwanda vya ngozi ktk Mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar #MagazetiJAN20 #JamboLEO
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Mkurugenzi adaiwa kukaidi agizo la Waziri MHAGAMA la kufuta leseni ya kibali cha uwakala wa ajira #Magazeti JamboLEO>https://t.co/NkhH5Qy5bY
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Jeshi la Polisi Mwanza lapinga kutajwa kuhusishwa matukio ya uhalifu kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari #Magazeti #JamboLEO
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Mwanasoka Mbwana SAMATTA amekubali kuwa balozi wa kupiga vita mauaji ya albino #MagazetiJAN20 #JamboLEO >>https://t.co/NkhH5Qy5bY
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Kalamu za milioni 30 zinazoandika na kupiga picha zimeipa ushindi wa Umeya UKAWA Dar #MagazetiJAN20 #MWANANCHI >>https://t.co/NkhH5Qy5bY
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Ofisi ya kamishna Mkuu TRA Dar yavunjwa na kuibiwa vifaa kadhaa ikiwemo Kompyuta #MagazetiJAN20 #MWANANCHI >>https://t.co/NkhH5Qy5bY
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Watoto watano wadaiwa kula kinyesi kwa kukosa chakula Serengeti, wasumbuliwa na utapiamlo na upungufu wa damu mwilini #MWANANCHI #JAN20
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Wabunge wa CCM wamemgeuka Rais MAGUFULI na kutaka kasi yake iangaliwe upya vinginevyo inaweza kukigharimu chama hicho tawala #MTANZANIA #JAN
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Polisi amdai mumewe talaka Mahakamani miezi miwili baada ya kuishi pamoja kwenye ndoa Kagera #MagazetiJAN#MWANANCHI>https://t.co/NkhH5Qy5bY
— millard ayo (@millardayo) January 20, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.