Kama kweli wewe ni mpenda soka hususani la Tanzania na Uingereza basi siku ya Jumatano na Alhamisi ya January 20 na 21, kama utawahi kutoka kazi inabidi uwahi uwanjani au katika tv yako kutazama micheozo hii ya Ligi Kuu, kwani sasa Ligi Kuu Tanzania inazidi kuwa na ushindani sana.
Burudani ya soka inaendelea kwa siku ya Jumatano ya January 20 na Alhamisi ya January 21, kwa upande wa Tanzania bara katika siku hizo itapigwa jumla ya michezo michezo mitano siku ya Jumatano ya January 20, lakini siku ya January 21 itapigwa michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania bara.
Kwa upande wa Tanzania Jumatano ya January 20 hii ndio michezo ya kuangalia
- Ndanda FC Vs Mbeya City uwanja wa Nangwanda
- Tanzania Prisons Vs Coastal Union Sokoine
- JKT Ruvu Vs Simba Taifa
- Stand United Vs Toto Africans Kambarage
- Mgambo JKT Vs Azam FC Mkwakwani
January 21
- Mwadui FC Vs Kagera Sugar Mwadui
- African Sports Vs Mtibwa Sugar Mkwakwani
- Yanga Vs Maji Maji FC Taifa
Mechi zote hizo zinatajwa kucheza saa 16:30
Uingereza Kombe la FA litaendelea kwa michezo mitatu kupigwa
- Leicester City Vs Tottenham Hotspur saa 22:45
- Liverpool Vs Exeter City saa 23:00
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.