Taarifa imenifikia kutoka Visiwani Zanzibar ambako uchaguzi Mkuu ulifutwa kutokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza kuwa ulikuwa na kasoro kadhaa hivyo akatangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo.
January 22 taarifa kutoka visiwani Zanzibar ni kuwa, tume ya uchaguzi visiwani Zanzibar ZEC imetangaza kwamba marudio ya Uchaguzi huo ni Jumapili March 20 2016… ila hakuna uteuzi mpya wa wagombea wala hakutaruhusiwa kufanyika kwa Kampeni zozote.
#Breaking #MarudioyaUchaguziMKUU #Zanzibar #2016 pic.twitter.com/6oeo5tlUWe
— millard ayo (@millardayo) January 22, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.