Wiki chache zilizopita staa wa Nigeria Yemi Alade aliachia video ya ngoma yake ya ‘Na Gode‘ ambapo ameimba kwa kiswahili.
Staa huyo karudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video hiyo, unaweza kuicheki video yenyewe hapa, director aliyefanya hii kazi ni Paul Gambit.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.