Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais wa Tanzania ulifanyika October 25 2015, baada ya hapo matokeo yakatoka na kukawa na stori mfululizo kuhusu ishu ya matokeo ikiwemo Wabunge wengine waliofungua kesi Mahakamani kupinga matokeo.
Mmoja ya Wabunge ambao walifunguliwa kesi za kupingwa Ubunge Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya nae alikuwa na kesi iliyofunguliwa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza.
Kwanza ni kwamba Mahakama hiyo imefuta kesi hiyo, kingine ni kwamba Mahakama hiyo imesema waliofungua kesi hiyo ni wapigakura ambao hawana mamlaka ya kufungua kesi ya aina hiyo.
#MillardAyoUPDATES: Mbunge Ester Bulaya (Bunda) ameshinda kesi ya kupinga Ubunge,Mahakama imesema wapigakura waliofungua kesi hawana mamlaka
— millard ayo (@millardayo) January 25, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE