Siku chache zimepita tangu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha atangaze kuwa Machi 20, 2016 kuwa siku ya marudio ya uchaguzi Zanzibar. Haya ni maamuzi ya CUF leo Jan 28 2016 kuhusu marudio hayo.
#MillardAyoUPDATES: Chama cha CUF kimesema hakitoshiriki marudio ya Uchaguzi wa Z'bar, wasema uchaguzi ulifanyika tarehe 25 Oktoba 2015.
— millardayo (@millardayo) January 28, 2016
Hiki ni kipande cha video nimekusogezea
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.