Kumekuwa na ripoti kila siku zikibeba vichwa vya habari Tanzania kuhusu ugonjwa wa kpindupindu, ripoti ya leo imetoka Wizara ya Afya kuhusu idadi ya waliowahi kuugua ugonjwa huo, waliofariki na pia rekodi zinavyoonesha maambukizi kwa sasa.
Ripoti hiyo inaonesha jumla ya watu 15,067 wameugua kipindupindu Tanzania toka ugonjwa huo ulipoanza mwaka 2015, waliofariki ni watu 233 huku mikoa ya Simiyu na Mwanza ikionekana kuongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kwa wiki hii.
#MillardAyoUPDATES: Watu 15,067 wameugua kipindupindu TZ toka 2015, waliofariki 233, Simiyu na Mwanza zaongoza kwa wagonjwa wengi wiki hii.
— millard ayo (@millardayo) February 1, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE