Picha za utengenezaji wa hii video ndio zilimuweka Linex kwenye headlines za kufunga ndoa kimyakimya lakini baadae akaja mwenyewe kukiri kupitia XxL ya CloudsFM kwamba zilikua ni picha za video na sio maisha yake halisi, sasa video yenyewe ndio hii imetoka.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.