Baada ya Feb 13 2016 Rais John Pombe Magufuli kulihutubia Taifa kupitia mkutano wake na Wazee wa Dar, Watanzania mbalimbali nao walikuwa na maoni yao kuhusu hotuba hiyo.
Hii imewagusa pia Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), na hapa nakukutanisha na Katibu wa Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano Egla Mamoto akifunguka.
Kama ilikupita Hotuba ya Rais Magufuli, hii hapa nimekusogezea..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE