Ni habari kutoka kwa Waziri wa elimu Profesa Joyce Ndalichako ambaye leo February 16 amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo kuanzia leo na kuwasimamisha pia Wakurugenzi wengine watatu kutoka bodi ya mikopo.
Yote hii imetokana na ukaguzi maalum uliofanyika katika bodi hiyo na kugundua mapungufu makubwa kwenye usimamizi wa fedha kwenye bodi hiyo, unaweza kutazama hii video ya sekunde 15 hapa chini
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE