Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini
Agizo la Waziri wa Michezo, Nape Nnauye kutaka mfumo wa tiketi za kielektroniki kuanza kutumika limegonga mwamba #TanzaniaDAIMA
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Jipu lamfuata mstaafu, ni kigogo wa zamani wa Dawasco anayetuhumiwa kuhusika kulipotezea shirika bil 2.8 #GazetiMWANANCHI #March 12
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako amewataka maofisa elimu wa wilaya na mikoa waliokula bil 63 za ujenzi wa madarasa wazirudishe #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Serikali imekanusha taarifa zilizosambaa kwa kasi zinazodai kuwa, imetoa ajira mpya ya walimu kwa mwaka 2015/2016 #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Polisi uwanja wa ndege Dar wanasa dawa za kulevya zilizokuwa zikisafirishwa kwa kutumia kampuni ya usafirishaji ya DHL #TanzaniaDAIMA
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Dar yakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa maeneo ya kuzikia kutokana na yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo kujaa #JamboLEO
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Baada ya Marekani kutaifisha mali za Mfanyabiashara Dawa za Kulevya Kamishna mstaafu wa Polisi, Nzowa amesema Shikuba alimtikisa #MTANZANIA
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais 'Tamisemi', Simbachawene ameagiza uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar ufanyike kabla ya March 25 #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako amezuia 'ulaji' wa bil 4, zilizokuwa zitumike kwa ajili ya semina ya siku nne #GazetiMWANANCHI #March 12
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif amesema ktk mazungumzo yake na Rais wa Z'bar Dk. Shein, hakuna jambo la uchaguzi lililozungumzwa #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 12, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE