Imefikia hatua sasa inabidi tuwe makini zaidi na mali zetu, kilichompata producer mkongwe wa muziki wa bongofleva Tanzania, Master J na wenzake kisitutokee na sisi maana kuibiwa laptop na vitu vingine kwenye gari kumetokea sehemu ambayo hata hauitarajii, tulizoea kusikia wizi huu maeneo kama Mlimani City na Town Dar es salaam ila sio Ununio kwakweli.
UNAPENDA MOVIE ZA KIBONGO? KUNA HIKI KIPISI CHA ‘KIBOKO KABISA’ MATRON KAMPENDA MWANAFUNZI… NDANI YUKO MAJUTO, NISHA NA WENGINE…
https://www.youtube.com/watch?v=bFp4y3bgu0U