Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ‘ICC’ ya The Hague ya nchini Uholanzi, April 05 2016 imetoa maamuzi ya kesi iliyokuwa inawakabili naibu Rais wa Kenya William Ruto na Mwandishi wa habari Joshua Arap Sang. Majaji wamesema upande wa mashtaka haukutoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai dhidi ya William Ruto na Joshua Sang.
Ruto na Sang walikabiliwa na mashtaka kadhaa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu wakidaiwa kuhusika kuchochea vurugu za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 zilizosababisha vifo vya zaidi ya watu 1000 ambapo walikana mashtaka hayo na mawakili wao walitaka kesi hiyo itupiliwe mbali kutokana na ukosefu wa ushahidi.
#BREAKING Mahakama ya kimataifa ICC imetupilia mbali kesi ya William Ruto, Joshua Sang, yasema hawana kesi ya kujibu pic.twitter.com/FmSMjwnT1l
— millardayo (@millardayo) April 5, 2016
Victory for DP William Ruto, Joshua Sang as ICC terminates their case https://t.co/VwsCWX8Zef pic.twitter.com/5aOAX0oQYd
— Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) April 5, 2016
ULIKOSA MAAMUZI YA MWISHO, MAHAKAMANI KWENYE KESI YA MBATIA NA MREMA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE