Baada ya jana kuenea kwa taarifa za msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Amatus Liyumba na taarifa za kifo chake kuchelewa kutoka, leo April 19 2016 familia ya marehemu kupitia kwa mtoto mkubwa wa marehemu Moses Amatus Liyumba wametoa taarifa za ugonjwa uliyopelekea kifo cha Liyumba.
“Kiukweli kikubwa kilichokuwa kina msumbua ni kisukari na presha yaani kisukari kilikuwa kipo juu sana, tatizo hilo alikuwa nalo ila kwa kiwango cha kawaida tu ila wiki moja iliyopita ndio hali ikabadilika” >>> Mose Liyumba
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE