Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Mpango wa JPM kubana matumizi umetajwa kuchangia kupungua kwa wageni wanaoalikwa na wabunge bungeni Dodoma pic.twitter.com/fgAGW1BAES
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#NIPASHE Serikali imesema imebaini wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuanza kuchanganya tumbaku ya shisha na Heroin pic.twitter.com/qg0WMEDDJV
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli leo anatarajiwa kutangaza kupunguza kodi ya PAYE kwa wafanyakazi pic.twitter.com/DBdBnaHadm
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#MWANANCHI Wabunge CCM wamewazidi upinzani kwa kura ya za sauti 'siyooo' kuikataa hoja ya kutaka bunge kurushwa live pic.twitter.com/4WN2Jl2X7y
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#MWANANCHI Aliyejifanya afisa usalama wa Taifa kwenye ziara ya JK mwaka 2013 atupwa jela miaka 12 Bukombe, Geita pic.twitter.com/gUqWTr6SA1
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#MWANANCHI Wabunge sasa kujisajili kwa kutumia mfumo wa kieletroniki kwa kuchukuliwa alama za vidole kuanzia kesho pic.twitter.com/DhbSUTATFc
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#MTANZANIA Prof Anna Tibaijuka ameunga mkono mpango wa Rais Magufuli kuanzisha mahakama ya mafisadi pic.twitter.com/M0wU8Svik5
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#JamboLEO Mtoto wa miaka 15 atumia shoka kuokoa abiria ajali ya basi Mbeya, ambapo wanne walifariki na 24 kujeruhiwa pic.twitter.com/z9dumfJnca
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#HabariLEO Wanaosubiri kunyongwa magerezani wafikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994 pic.twitter.com/jUOXCLKiDj
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
#MTANZANIA Bunge 'live' kivingine, wabunge wajirekodi kwa simu na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii pic.twitter.com/66nSCed9qk
— millardayo (@millardayo) May 1, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIKOSA SENTENSI ZA PROFESA TIBAIJUKA KUHUSU KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA MAFISADI? UNAWEZA KUANGALI VIDEO HII HAPA CHINI