Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
Wanawake Ukawa walitoka bungeni wakipinga Naibu Spika kutomlazimisha mbunge kufuta kauli waliyoiita ya udhalilishaji pic.twitter.com/BQj99v0c5T
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
Wanaokula nguruwe ambayo haijaivishwa hatarini kuambukizwa minyoo aina ya tegu na magonjwa mbalimbali ukiwamo kifafa pic.twitter.com/wAygF5tBoF
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli ametangaza kutaifisha tani zote za sukari zitakazokamatwa kwenye maghala na kuzigawa bure pic.twitter.com/lqOmLCSO8v
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#NIPASHE Bunge lilichafuka baada ya wabunge wa viti maalumu kutoka upinzani kukasirishwa na tuhuma za kuitwa 'baby' pic.twitter.com/BeUEyPRytP
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#NIPASHE Tundu Lissu ameitaka Serikali itaje umri wa jaji mkuu, Othman Chande, ama kuweka wazi ni lini atastaafu pic.twitter.com/7VqwikW1qA
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#NIPASHE Serikali imesema vitendo vya ubakaji na ulawiti, matukio 19 kwa siku yamekuwa yakiripotiwa pic.twitter.com/K6cGDFXlfl
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#JamboLEO Idadi ya viwanda nchini imeongezeka kutoka 125 mwaka 1961 hadi 49,243 mwaka 2013 pic.twitter.com/hJKh9zLrCS
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#JamboLEO Wabunge CCM watakaokuwa wajumbe wa NEC wamepatikana huku Livingstone Lusinde akiongoza kwa idadi ya kura pic.twitter.com/t0B20pW9U9
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#JamboLEO Shirika la Maendeleo Uingereza kutoa bil 579.4 kwa serikali kwa ajili ya miradi, mwaka wa fedha 2016/2017 pic.twitter.com/wNfULYxFMh
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
#MTANZANIA Mahakama Kuu imetupilia mbali rufaa ya DPP dhidi ya Harry Kitillya na wenzake wawili pic.twitter.com/PxodoUSVkN
— millardayo (@millardayo) May 7, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIKOSA MAAMUZI YA MAHAKAMA KUU KUHUSU RUFANI YA KITILYA NA WENZAKE? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HAPA CHINI