Kadri Teknolojia inavyozidi kukua kila siku katika upande wa usafirishaji ndivyo ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinavyozidi kupatiwa majibu, kama ilivyo kwa Tanzania ilivyoleta mabasi yaendayo haraka ili kuepuka foleni, ndivyo hivyo imetokea Beijing China ambapo wao wameweza kutengeneza basi la umeme lenye uwezo wa kupita juu ya magari mengine.
Kutokana na China kuwa nchi yenye watu wengi zaidi Duniani, hivyo basi hilo linalotajwa kubeba watu 1200 kwa mara moja, linatajwa kuwa ufumbuzi sahihi wa msongamano wa magari barabarani, basi hilo lilifanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza May 19 2016.
ULIKOSA MUONEKANO HUU WA BARABARA ZA K/KOO BAADA YA WAMACHINGA KUONDOLEWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI>>>>………….
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE