Moja ya matukio ambayo yanamake headlines katika Wilayani Siha Kilimanjaro ni pamoja na adhabu zinazotolewa kwa wale wanaovunja sheria, kingine ni kwamba kijiji cha Sanya Hoye kimepitisha adhabu ya faini ya Shilingi 50,000 pamoja na viboko 15 kwa atakayekutwa baa na mtoto mdogo au kuvaa nguo fupi.
Mwenyekiti wa kijiji cha Sanya Hoye, Moses Mnuo ametoa ufafanuzi wa maazimio waliyokubaliana katika kikao cha kijiji cha Sanya Hoye………
>>>‘tumepitisha sheria kwa mtu yeyote anayevaa nguo fupi kwa watoto wa kike ni marufuku tangu siku ile ya kikao kile, wanawake hao wanapotembea hapa usiku wana ajenda walizonazo wanafanya machafu yao kwa hiyo tutawapiga faini na hizo hela watapewa risiti’
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza
ULIKOSA ALICHOSEMA OLE -SENDEKA KWENYE MSIBA WA WILSON KABWE ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE