Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Jana wabunge walitoka nje ya ukumbi wa Msekwa baada ya Naibu Spika kupewa nafasi ya kufungua semina pic.twitter.com/M3SFGjNm9G
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#NIPASHE Wakati ripoti ya Lugumi ikitarajiwa kukamilika, imeelezwa kuwa ripoti haitataja majina ya watu waliohusika pic.twitter.com/dRGZZ6XYES
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MTANZANIA JPM amelikataa pendekezo la wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki la kununuliwa magari mapya pic.twitter.com/bzufyqUi8s
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#NIPASHE Hatimaye ripoti inayodaiwa kutishia hatima ya ajira za watoto wa vigogo BoT yatua mezani kwa Rais Magufuli pic.twitter.com/frrihzvhE3
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MTANZANIA Mwenyekiti kamati ya mambo ya nje, ulinzi, usalama, Balozi Adadi amesema mauaji Tanga ni zaidi ya ugaidi pic.twitter.com/dY3fEMc81e
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MTANZANIA RC Makonda asaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kirafiki kati ya DSM na Jimbo la Jiangsu China pic.twitter.com/Xg6sqN5fx2
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MAJIRA Botswana inatajwa kuwa nchi isiyokuwa na rushwa ikilinganishwa na nchi nyingine barani Afrika pic.twitter.com/47dE4v5vKD
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MWANANCHI Mamia ya wanafunzi shule za msingi Burundi wamefukuzwa baada ya kuchora katuni zinazo mdhalilisha Rais pic.twitter.com/HENMLMBZfw
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MWANANCHI Watuhumiwa 9 kati ya 14 wa mauaji msikitini Mwanza wameachiwa huru baada ya kuonekana hawana hatia pic.twitter.com/Lfagjnx0tR
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
#MWANANCHI Kati ya watanzania mil 25.8 wenye uwezo wa kufanya kazi ni mil 2.1 pekee walioajiriwa sekta rasmi pic.twitter.com/NQc944nvOm
— millardayo (@millardayo) June 5, 2016
ULIIKOSA HII YA MBUNGE MUNDE TAMBWE KUWA MUSEVENI AMEOMBA KURA UGANDA KWA JINA LA RAIS MAGUFULI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE