Mchakato wa kukabidhi Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ sasa unaelekea kukamilika baada ya leo June 06 2016 msemaji wa chama hicho Christopher Ole Sendeka kukutana na waandishi wa habari na kueleza kuwa wanatarajia kukutana wakati wowote ndani mwezi huu……..
Ole Sendeka amesema…………..>>>‘Kwa mujibu wa katiba ya CCM kalenda ya vikao vya kitaifa lazima viamuliwe na kamati kuu na tunatarajia kukutana wakati wowote mwezi huu ili tutoe tarehe kamili ya mkutano Mkuu Taifa halmashauri kuu inakutana lini na mkutano mkuu unakutana lini’
ULIKOSA ALICHOKISEMA OLE SENDEKA KWENYE MSIBA WA WILSON KABWE ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DSM? BONYEZA PLAY HAPPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE