Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya leo June 8 2016 imethibitisha kuwa katika hatua za mwisho za kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi anayeichezea klabu ya Azam FC Didier Kavumbagu.
millardayo.com ilipata nafasi ya kufanya exclusive interview na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Dismas Ten kuthibitisha ukweli wa taarifa hizo, ambazo zilianza kuenea mitandaoni.
“Ni kweli tupo katika mazungumzo na wakala wa Kavumbagu na mambo yanaenda vizuri, tutamsajili Kavumbagu kuhusu kuwa mchezaji huru au kuwa na mkataba na Azam FC, sisi tutafuata taratibu zote za usajili ili kufanikisha usajili wake”
KAMA ULIIKOSA: KAVUMBAGU ALIPOELEZA SABABU ZA AZAM FC KUTOFANYA VIZURI.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE