June 10 2016 ndio ilikuwa siku ambayo uongozi wa kamati ya uchaguzi wa Yanga na wagombea wote walifunga kampeni zao ikiwemo mgombea wa nafasi ya uenyekiti Yusuph Manji, kubwa ni sera za Manji ambapo amewaambia wanachama kama wanataka uwanja ni lazima wakubali kupambana.
“Kama tunataka eneo hili ujengwe uwanja ni lazima tukubali kupambana kwa namna yoyote ile, ikiwemo tuombe kibali cha maandamano ili tupate vibali vya kuwezesha tujenge uwanja, hili jambo ili lifanikiwe hatuwezi kufanikiwa kama mtu akiwa kalala kitandani”
KAMA ULIIKOSA MANJI ALIPOTAJA MAJINA YA WANAOHUJUMU UCHAGUZI WA YANGA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE