Baada ya serikali kutangaza kukata viinua mgongo na posho za wabunge katika kukusanya kodi wakati Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango akisoma bajeti kuu. Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly amepinga kitendo hicho na kuiomba serikali iondoe mpango huo.
ULIIKOSA HII? NAIBU SPIKA DK. TULIA VS MBUNGE SILINDE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE