Ni June 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikutana na Ayo TV kuelezea mikakati iliyopangwa na Serikali juu ya wahamaji wa mitaa.
Akizungumza na Ayo TV alisema…’Ifikapo tarehe 1 mwezi wa saba wenyeviti wa mitaa ndio watakuwa wakitoa barua za kumtambulisha mwananchi ambae anahama kwenda mtaa mwingine’- Paul Makonda
Tunamaanisha kwamba katika mkoa wetu tuna watu wengi ambao hawafahamiki kuwa shughuli zao ni zipi, na mbaya zaidi unakuta watu hao ndio wanaingia katika shughuli haramu sasa kuna njia ya kuwadhibiti hao watu kupitia wenyeviti wao wa mitaa- Paul Makonda
ULIIKOSA YA RC PAUL MAKONDA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ KWENDA OFISINI KWAKE ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE