Utafiti umetolewa na jarida la kitabibu ambao uliendeshwa na wanasayansi 23 chini ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani ya shirika la afya Duniani ‘WHO‘.
Wanasayansi hao walitakiwa kuangalia uwezekano wa kahawa na vinjwaji vingine vya moto sana iwapo vinaweza kusababisha saratani, matokeo ya utafiti huo ni kwamba unywaji wa vimiminika vyenye moto kupindukia vinaweza kusababisha saratani ya njia ya kusafirisha chakula kutoka kooni hadi tumboni.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza
ULIKOSA MUONEKANO WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE