June 20 2016 Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni mwarabu.
Mama alifika maeneo hayo nyakati za usiku na watu wakawa na mashaka naye wakamwambia aende kwa mjumbe……..
>>>’shida yake yeye ni kwamba anamuhitaji ndugu yake alikuwa bungoni lakini alipofika alikuwa ameshahama na kuna ndugu zake wengine akaomba kulala kwa sababu hawezi kufika mbezi kwa usiku huo, nikamwambia twende kituo cha polisi hapo zogo ndio likaanza’:-Mjumbe
>>>kwa nini mnakuwa washamba hapa Dar es salaam hamna watu waliozaa na wahindi au waarabu mpaka mnakuja kunishangaa mimi, hapa nishaadhalilishwa sana kwa hiyo twende polisi nikamshtaki aliyenidhalilisha‘:-Mama wa mtoto
Unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapa chini
ULIKOSA HII YA WABUNGE WA UKAWA WALIVYOTOKA KWA STYLE MPYA YA KUZIBA MIDOMO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE