Naibu waziri wa nishati na madini Medard Kalemani amejibu swali la mbunge wa viti maalum Arusha Catherine Magige aliyesimama bungeni kuhoji tatizo la umeme kuwa kubwa katika mkoa wa Arusha ni lini serikali italitatua. Naibu waziri amesema serikali imetenga kiasi cha shilingi bilion 13.7 kwa ajili ya kumaliza tatizo hilo.
ULIIKOSA HII? WABUNGE WAWILI CHDEMA WASIMAMISHWA KUHUDHURIA VIKAO KWA KULIDANGANYA BUNGE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE