Hii imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.
ULIKOSA HUU UFAFANUZI KUHUSU KIFARU KILICHORIPOTIWA KUIBIWA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER