June 22 2016 Waziri wa viwanda na biashara, Charles Mwijage amekutana na wafanyabiashara Arusha katika mkutano wa viwango Afrika uliokutanisha makampuni mbalimbali hapa Tanzania.
Baada ya kufungua mkutano huo Waziri Mwijage alipata nafsasi ya kuzungumza ambapo alisema…….>>>’Afrika tukiamua kufanya biashara sisi kwa sisi tutapata chumo kubwa sana na hatutahitaji misaada ambayo tumezoea, kwa hiyo uwekaji wa viwango unalenga kutengeneza ushirikiano ambapo nchi za Afrika zitafanya biashara zenyewe kwa zenyewe’
‘kufikia July mosi fair Competition na TBS, Watantania ikikutwa bidhaa ambayo haina viwango mtaani mtu anapoteza kazi, bidhaa feki mtaani nitakuwa nazitafuta mimi na fair competition ukikutwa bidhaa inachomwa tunaanza viwango tunaanza ushindani ulio sawia’
ULIKOSA MAMBO SITA YA GOODLUCK BAADA YA KUVULIWA KOFIA YA BARAGHASHIA BUNGENI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE