Msanii wa Bongofleva Belle 9 ameachia rasmi remix ya video ya hit single yake ya Burger Movie Selfie aliyowashirikisha Izzo Bizness, Jux, G Nako, Mr Blue, Maua Sama. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee dakika 3 na sekunde 44 za video yenyewe. Enjoy !!!!!!!
ULIIKOSA ON AIR YA BELLE 9 WITH MILLARDAYO
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE