Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesimama bungeni kuchangia katika mabadiliko ya kodi kwenye soko la hisa na kusisitiza makampuni kujisajili, umiliki wa watanzania katika makampuni kuwa asilimia 35 tofauti na ile ya 25 inayotakiwa na serikali pamoja na serikali kukubali mapendekezo ya watanzania kumiliki uchumi bila kuathiri soko la hisa.
Mambo mengine aliyozungumza bungeni ni pamoja na umuhimu wa sheria kutoruhusu mtu mmoja kumiliki hisa zote katika kampuni badalayake zimilikiwe na watanzania wengi, kulazimisha sekta binafsi kusajili soko la hisa kwa lazima sio jambo sahihi katika kutoa vipaumbele kwa wazawa.
Unaweza kuendelea kuwasikiliza Mbunge Hussein Bashe na Mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju kwenye hii video..
ULIIMISS HII YA MAMBO SITA YA GOODLUCK BAADA YA KUVULIWA KOFIA YA BARAGHASHIA BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE