Mkali wa Bongo fleva, Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB), amekaa kwenye interview hii na Millard Ayo na amezungumzia kuhusu kujiendeleza zaidi katika masuala ya lugha, Harmonize amesema…
>>>’Kuna mwalimu pale ofisini WCB anafundisha lugha lakini kuiongea lugha kabla haujaijua vizuri si kitu kizuri kiiungwana, kuna mwalimu pale special kabisa kwa sababu msanii yoyote wa WCB kwa sababu tunahitaji kutanua mziki wetu ufike tuwe na market ya nje pia’
>>>’hatuwezi kuwa na biashara ya nje, unawezaje kuwa na biashara nje na wakati international language hauwezi kuiongea, inakuwa ni vigumu kwa hiyo tunajaribu na management ililiona hilo mapema na likaishughulikia kuna mwalimu pale anatufundisha lugha vizuri tu‘- Harmonize
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII EXCLUSIVE HARMONIZE KUTOSAHAU HAYA AKITENGENEZA VIDEO YA ‘BADO’ UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE