Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Paul Makonda June 30 2016 amepokea msaada mwingine wa ramani ya Ghorofa tatu kila Wilaya katika hospitali za Amana, Temeke, Mwananyamala na majengo haya yataweza kulaza wakina mama 450 kwa siku.
Ikiwa ni katika utekelezaji wa Ahadi ya Mama mmoja kitanda kimoja inazidi kutimia, ni ufadhili kutoka Kwa Amsons company ambapo ujenzi huo utagharimu bilion 4.5 za kitanzania na ujenzi huo unatarajiwa kuanza mwezi ujao.
ULIMISS HII HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA KITUO CHA MAWASILIANO ITAZAME HAPA CHINI..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE