July 1 2016 taarifa za mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Jerry Muro kuitwa na kamati ya maadili kujieleza kutokana na kauli zake, iliingia kwenye headlines kabla ya leo July 2 kuitikia wito.
Jerry muro ambaye awali alikuwa anaituhumu TFF imepanga njama za kutaka kumfungia miaka mitatu kutojihusisha na soka, aliitwa leo na kamati ya maadili na badala yake kamati imeamua kumfutia mashitaka hayo kutoka na barua yake ya kuitwa na TFF ilikuwa na makosa mengi.
Kamati ya maadili imetupilia mbali malamiko ya #TFF kuhusiana na #JerryMuro kutokana na barua yao kuwa na mapungufu. pic.twitter.com/IfxxBOPIHP
— millard ayo (@millardayo) July 2, 2016
GOLI LA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE