June 26 2016 Rais John Magufuli aliwateua jumla ya Wakuu wa Wilaya 139 ambapo Mkoa wa Dar waliteuliwa Wakuu wa Wilaya wa Tano, Taarifa hii ikufikie Mtu wangu baada ya uteuzi huu wa Wakuu wa Wilaya leo July 4 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewaapisha wakuu wa Wilaya 4 kati ya watano.
‘Leo nimewaapisha tutawaapisha hapa wakuu wa Wilaya 4 kati ya 5 hiini baada ya Mkuu moja wa wilaya kupata msiba wa baba yake mzazi hivyo atakapotoka kwenye kipindi hicho kigumu tutamuapisha kwa Mkuu mpya wa Wilaya‘ Paul Makonda.
ULIMISS HUU MSAADA MWINGINE ALIOUPOKEA RC MAKONDA KWENYE HOSPITALI ZA DAR ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…