Maelfu ya mashabiki wa soka wa timu ya taifa ya Iceland walijitokeza katika mji mkuu wa nchi hiyo Reykjavík kuipokea timu yao ambayo ilikuwa inawasili kutokea Ufaransa ilipokuwa inashiriki michuano ya Euro 2016.
Timu ya taifa ya Iceland imewasili nyumbani ikitokea Ufaransa, baada ya kutolewa katika mchezo wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa, mchezo ambao ulimalizika kwa Iceland kufungwa kwa goli 5-2. Kikosi cha Iceland kilipokewa na mashabiki 329,000.
Video ya mapokezi yenyewe mtu wangu
GOLI LA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1